VIDEO: Goli la kwanza la Robin van Persie baada ya miaka 14 toka aihame Feyenoord

Staa wa zamani wa club za Arsenal na Man United Robin van Persie amerudi kwenye headlines nyumbani kwao Uholanzi baada ya kurudi katika timu yake ya Feyenoord kwa mara ya kwanza baada ya miaka 14 toka alipoondoka mwaka 2004 na kujiunga na Arsenal. Robin van Persie amerudi Feyernoord mwaka huu 2018 akitokea Fenerbahce ya Uturuki […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Friday, 9 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News