VIDEO: “Zitto utanifanya nini? naweza kukuzuia usiongee hadi mwisho wa Ubunge wako” – SPIKA

September 13, 2017 Spika wa Bunge Job Ndugai ameagiza tena kamati ya haki, maadili na madaraka ya Bunge kumhoji Mbunge wa Kigoma mjini Zitto Kabwe baada ya kuendelea kutoa maneno ya kulidhalilisha Bunge licha ya jana Spika kuagiza kuhojiwa kwa kauli hizohizo. Leo Spika amefunguka zaidi Bungeni kuhusu Zitto Kabwe na kumwambia ana uwezo wa […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Wednesday, 13 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News