Vat umeme wa Zanzibar watikisa Bunge Dodoma

Sakata la umeme unaokwenda Zanzibar kutozwa Kodi ya Ongezeko la Thamani (Vat), jana lilitikisa Bunge kwa mara nyingine baada ya mbunge wa Welezo (CCM), Saada Mkuya kueleza wawakilishi wa Shirika la Umeme Zanzibar (Zeco) waliofika kujadili suala hilo walizuiwa nje ya jengo la Bunge....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Tuesday, 11 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News