Uzinguzi wa Mashine ya Maji Kijiji cha Ngomeni Pemba Shamrashamra za Sherehe za Mapinduzi Kutimia Miaka 54.

 WAZIRI wa Afya Zanzibar Mhe: Mohamoud Thabiti Kombo, akiondoa kitambaa, kuashiria kuufungua mradi wa maji safi na salama, kwa wajili ya wananchi wa kijiji cha Ngomeni shehia ya Mgelema wilaya ya Chakechake, ikiwa ni sehemu ya shamra shamra za miaka 54 ya Mapinduzi ZanzibarWAZIRI wa Afya Zanzibar Mhe: Mohamoud Thabiti Kombo, akifungua mashine ya kusambaazia maji safi na salama, kwa ajili ya wananchi wa kijiji cha Ngomeni shehia ya Mgelema wilaya ya Chakechake Pemba, ikiwa ni shamra shamra za miaka 54 ya Mapinduzi ZanzibarWANANCHI wa kijiji cha Ngomeni shehia ya...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Wednesday, 3 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News