Uzinduzi wa Juma la Mamlaka ya Mafunzo ya Amali Zanzibar Viwanja vya Mnara wa Kumbukumbu ya Mapinduzi Michenzani Kisonge.

KAIMU Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali pia ni Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Mhe. Mahmoud Thabit Kombo akifungua Juma la Mamlaka ya Mafunzo ya Amali Zanzibar yaliofanyika katika viwanja vya Mnara wa Kumbukumbu ya Mapinduzi michezaniMWANAFUNZI wa Chuo cha Amali Mkokotoni Unguja Fumu Khamis , akitowa maelezo ya Ufundi wa umeme wa magari kwa wananchi waliofika kuangalia maonesho hayo katika viwanja vya Mnara wa kumbukumbu michezani MWANAFUNZI wa Skuli ya Amali Kituo cha Mwanakwerekwe  Unguja akiwa katika maonesho ya kuadhimisha Siku ya Mamlaka ya Mafunzo ya...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Tuesday, 13 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News