UVCCM YAPONGEZA MIRADI YA AFYA TABORA.

Na Mwandishi wetu,Tabora Umoja wa Vijana wa CCM umesema umeridhishwa na kasi ya utekelezaji wa miradi ya afya inayotokana na ahadi katika ilani ya uchaguzi katika halmshauri za wilaya mji  wa Nzega na Nzega vijijini mkoani Tabora. Pia Umoja huo umeeleza kikubwa kasi hiyo inatokana na kuwepo kwa mashirikiano makubwa kati ya viongozi wa chama,halmashauri za wilaya na serikali kuu. Matamshi hayo yametamkwa jana na Mwenyekiti  wa Taifa wa UVCCM Kheri Denise james mara baada ya kumaliza kutembelea mradi wa ujenzi wa kituo cha Afya cha Kazogolo katika halmashauri ya mji wa Nzege...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Tuesday, 2 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News