UVAMIZI OFISI ZA WAKILI WA MANJI WAIBUA HOFU

Na KULWA MZEE-DAR ES SALAAM UVAMIZI wa ofisi ya Wakili wa Yusufu Manji, Hudson Ndusyepo, umeibua hofu kubwa miongoni mwa baadhi ya mawakili ambao baadhi wamedai wako tayari kufanya kazi bila kuogopa ili kuinusuru taaluma ya sheria. Wakizungumza kwa nyakati tofauti kwa masharti ya kutotaja majina yao kwa ajili ya usalama walisema wamepokea taarifa hizo za uvamizi kwa masikitiko makubwa na wamepata hofu kwa kitendo cha uhalifu kuendelea kutokea katika ofisi za mawakili wakitolea mfano Kampuni ya Uwakili ya IMMA ilivyolipuliwa hivi karibuni. “Tutapambana tu maana mwanasheria ukianza kuogopa kuvamiwa...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Tuesday, 12 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News