UTAFITI: Watoto wa kwanza kuzaliwa huwa na akili zaidi kuliko wadogo zao

Utafiti uliofanywa unaonesha kuwa watoto wa kwanza kuzaliwa katika familia huwa na akili sana ukilinganisha na watoto wanaofuatia kuzaliwa. Wataalamu wa Uchumi kutoka University of Edinburgh baada ya kuwa katika mjadala kwa miaka mingi wamehitimisha kuwa watoto wa kwanza kuzaliwa wanakuwa na kiwango cha juu cha IQ ukilinganisha na watoto wanaowafuata. Watafiti wanasema majibu ya […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Friday, 18 August

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News