Usishangae ukisikia Sanchez amejiunga na Man United

Taarifa zinazoripotiwa kwa sasa kuhusiana na staa wa kimataifa wa Chile anayecheza soka la kulipwa katika club ya Arsenal ya England Alex Sanchez, ameripotiwa kuwa yupo mbioni kujiunga na Man United katika kipindi hiki cha usajili cha dirisha dogo. Sanchez pamoja na kuhusishwa kwa muda mrefu na tetesi za kujiunga na Man City leo Ijumaa […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - 4 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News