Urusi yalaumiwa

Marekani imeishutumu Urusi kwa kukiuka hadharani mikataba iliyoafikiwa katika enzi za Vita Baridi, kwa kuunda kile Rais wa Urusi, Vladimir Putin, alichokitaja kuwa kizazi kipya cha silaha madhubuti. Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imeghadhabishwa na tamko la Putin na kusema kuwa Rais huyo wa Urusi amethibitisha madai ambayo yamekuwako kwa muda mrefu kuhusu mpango wake wa nyuklia. Msemaji wa Ikulu ya Marekani, Sarah Sanders, amesema kuwa Rais Putin amethibitisha kile serikali ya Marekani imekuwa ikijua, ambacho Urusi imekuwa ikikana, na kuongeza kuwa Urusi imekuwa ikiunda silaha za...

read more...

Share |

Published By: Jamhuri Media - Wednesday, 7 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News