UPDATES: Meya Arusha atajwa kusababisha Diwani mwenzie kukamatwa

February 6, 2018 ilikuwa siku ya kikao cha Baraza la Madiwani katika Halmashauri ya Jiji la Arusha lakini baada ya kikao kumalizika Diwani wa Kata ya Daraja Mbili CHADEMA Prosper Msofe alikamatwa na Jeshi la Polisi kwa madai ya kukutwa na nyaraka za siri za serikali. Baada ya kuachiwa Diwani huyo amemtuhumu Meya wa Jiji la […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Thursday, 8 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News