UPASUAJI WA KIHISTORIA

Arekebishwa mshipa mkubwa wa moyo JKCI NA VERONICA ROMWALD – DAR ES SALAAM TAASISI ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), kwa mara ya kwanza imefanikiwa kufanya upasuaji wa kurekebisha mshipa mkubwa unaotoa damu kwenye moyo kwenda sehemu mbalimbali za mwili (Aortic Aneurysm Repair). Madaktari bingwa wa JKCI, wamefanya upasuaji huo kwa kushirikiana na wenzao wa Hospitali ya Saifee ya Mjini Mumbai ya nchini India. Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo wa Taasisi hiyo, Bashir Nyangassa, alisema hayo jana alipozungumza na waandishi wa habari kuhusu mafanikio waliyoyapata katika kambi ya matibabu...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Saturday, 11 November

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News