UNAZIFAHAMU HOTELI TANO ZA KUVUTIA ZAIDI ZINAZOPATIKANA PEMBEZONI MWA TANZANIA?

Na Jumia Travel TanzaniaZimebaki takribani wiki tatu kabla ya sikukuu ya Pasaka kusherehekewa duniani kote, je umeshafahamu utakwenda kupumzika wapi? Pasaka ni miongoni mwa sikukuu zinazopendwa na watu wengi kwa sababu husherehekewa kwa takribani wiki moja. Wakati wa sherehe hizi watu huitumia fursa hiyo kwa kufanya mapumziko ya muda mfupi kabla ya kurejea kwenye shughuli zao za kila siku.Katika kukusaidia sehemu za kwenda kutembelea sikukuu hii, Jumia Travel imekukusanyia hoteli tano za kuvutia zilizopo pembezoni mwa Tanzania ambazo unaweza kwenda kupumzika kipindi cha likizo hii fupi.Lupita Island Lodge. Ni hoteli ya...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Tuesday, 13 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News