UNAWEZA KUUGUA SARATANI YA TEZI DUME UKAHISI UTI

Na VERONICA ROMWALD – DAR ES SALAAM KUTOKANA na dhana mbalimbali zinazozungumwa na watu kuhusu ugonjwa wa tezi dume, MTANZANIA limeona ni vema kuzungumza na Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Saratani wa Taasisi ya Saratani Ocean Road (ORCI), Mark Mseti ambaye anafafanua kwa kina  kuhusu ugonjwa huo, dalili zake na tiba. Dk. Mseti anasema tezidume ni kiungo muhimu kilichopo ndani ya mwili wa mwanamume, chini kidogo ya kibofu cha mkojo kikiuzunguka mrija wa kutolea haja ndogo. Anasema kiungo hicho hutengeneza majimaji maalumu ambayo huambatana na mbegu za kiume wakati wa tendo...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - 5 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News