UN YATUMA UJUMBE KOREA KASKAZINI

BEIJING, CHINA UJUMBE wa Umoja wa Mataifa (UN) umeelekea mjini Pyongyang mchana wa jana kwa ziara yenye lengo la kujaribu kuzima mvutano kati ya taifa hilo na Marekani kufuatia mpango wa silaha za nyuklia wa Korea Kaskazini. Mvutano mkali unaoendelea kati ya Marekani na Korea Kaskazini kutokana na mpango wake wa silaha za nyuklia, unaendeleza hali ya wasiwasi katika eneo la Korea na duniani kwa ujumla. Kutokana na hali hiyo, UN imetuma ujumbe wake ukiongozwa na Naibu Katibu Mkuu anayehusika na masuala ya siasa, Jeffrey Feltman kwenda Korea Kaskazini kujaribu...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Wednesday, 6 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News