Ulichosema upande wa Utetezi Kesi ya Mhasibu wa TAKUKURU kumiliki mali zisizoendana na kipato chake

Leo January 3 , 2018 Upande wa utetezi umeieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa wanapata tabu wakiambiwa upelelezi wa kesi inayomkabili Mhasibu Mkuu wa (TAKUKURU), Godfrey Gugai anayedaiwa kumiliki mali zenye thamani ya Tshs Bilioni 3 ambazo haziendani na kipato chake kuwa haujakamilika. Hayo yameelezwa na Wakili wa Utetezi, Semi Malimi mbele ya Hakimu […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Wednesday, 3 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News