UKUTA WAMUUA MAMA YAKE KIBATALA

Na MWANDISHI WETU -MOROGORO ANNA  Mayunga ambaye ni mama mzazi wa wakili maarufu, Peter Kibatala amefariki duniani baada ya kuangukiwa na ukuta wa nyumba yake. Akiongea na MTANZANIA jana kwa njia ya simu, Wakili Kibatala alisema mama yake alifikwa na umauti wakati akikagua eneo la nyumba yake iliyoko eneo Fokoland, SUA mjini Morogoro. “Baada ya mvua ilinyesha leo (jana) asubuhi saa mbili aliamua kukagua nyumba kwa kuizunguka ili kuona kama maeneo yetu yamepata madhara, ghalfla ukuta wa nyumba ulianguka na kupoteza uhai wa mama,” alisema Kibatala kwa ufupi Taarifa...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - 4 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News