Ujumbe wa Lwandamina baada ya Yanga Kutinga Makundi Kimataifa

Ujumbe wa Lwandamina baada ya Yanga Kutinga Makundi Kimataifa. Ni wazi jana ilikuwa moja kati ya Siku zenye furaha sana kwa washabiki, wapenzi na wanachama wa Yanga na hata kwa watu ambao ni wazalendo wa nchi.Lakini kocha Mkuu aliyeomba Kujiuzulu George Lwandamina  msomaji wa Kwataunit ametoa Ujumbe wake alipoongea kwa Njia ya Simu mara baada ya Yanga Kutinga Hatua ya Makundi kombe la Shirikisho barani Afrika“Ninapenda kuwapongezasana wachezaji kwa jitihada zaozilizowafi kisha hatua ya makundi,naamini mafanikio haya yametokanana uvumilivu, busara na jitihada binafsiambavyo hatimaye vimewapa ushindi.Hongereni sana vijana,”Alisema Lwandamina ambaye inasemekana...

read more...

Share |

Published By: Sporti Starehe - Thursday, 19 April

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News

  • In the last 1 day
  • Yanga yapewa neno zito Mwana Spoti (Yesterday) - KOCHA wa zamani wa Yanga, George Lwandamina ameipa neno timu hiyo endapo inahitaji kusonga mbele...