Ujio wa Emoji mpya 157 mwaka huu, hizi ni baadhi yake (Picha+)

Shirika la Consortium Unicode ambalo ni la kuweka viwango vya Programu mbalimbali za kielektroniki kimataifa limetangaza ujio wa Emoji mpya 157 siku zijazo mwaka huu zikiwa na sura mpya. Inaelezwa kuwa Emoji zinazokuja mpya ni pamoja na keki za vikombe (Cupcakes), bendera, na nyuso za ishara zaidi. Emoji hizo pia zitakuwa na mgawanyiko mbalimbali wa mitindo ya nywele […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Friday, 9 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News