Uhusiano wa Marekani na Israeli una historia ndefu

Marekani imekuwa na uhusiano wa karibu na Israeli kwa miaka mingi, na rais baada ya mwingine amekuwa akieleza azma yake ya kuendelea kuimarisha uhusiano kati ya nchi hizo mbili. Marais wengi wa Marekani wamefanya kila jitihada kujaribu kutatua mzozo wa miaka mingi kati ya Palestina na Israeli, bila ya mafanikio makubwa....

read more...

Share |

Published By: VOA News Swahili - Wednesday, 6 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News