UFUNGUZI WA BANDARI YA MKOKOTONI ZANZIBAR

Na Khadija Khamis –Maelezo 03/01/2017Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais Mhe. Mohamed Aboud Mohamed amewataka wafanyakazi wa shirika Bandari  Zanzibar kufanya kazi kwa bidii na kujenga uadilifu ili kuipatia pato serikali pamoja na kuleta maendeleo katika nchi.Kauli hiyo ameieleza leo huko katika ufunguzi wa jengo la Ofisi ya Shirika la Bandari Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini  Unguja ikiwa ni miongoni mwa shamra shamra ya sherehe ya miaka 54 ya Mapinduzi  Matukufu ya Zanzibar.Alisema wafanyakazi  waweze kupambana katika kuhakikisha wanazuia rushwa na uingizaji wa biashara haramu jambo ambalo...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Wednesday, 3 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News