TUTAVUNA KWA HIKI TUNACHOPANDA JUMUIYA YA MADOLA

TANZANIA ni moja ya nchi ambazo zitapeleka wanamichezo katika michuano ya Jumaiya ya Madola, itakayofanyika Aprili, mwakani Mji wa Gold Coast, Australia. Katika michuano hiyo, Tanzania itawakilishwa na timu tano za michezo ya riadha, kuogelea, mpira wa meza, ngumi na paralimpiki, huku dalili za kufanya vizuri na kupata medali zikionyesha kutokuwapo, kutokana na maandalizi hafifu. Matumaini kwa Tanzania kurejea na medali kama nchi za wenzetu  wanavyofanya vizuri katika michuano hiyo, tunaiona ni ndogo, kutokana na timu zitakazoshiriki kuonekana  kusuasua katika maandalizi yake. Tumeanza kupata wasiwasi kwa wanamichezo wetu kuweza kufanya...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - Thursday, 7 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News