TUSIRUHUSU HOJA YA KUONGEZA MUDA WA UONGOZI IKOMAE

Upepo wa mabadiliko ya kisiasa (political wind of change) uliyoikumba dunia mwishoni mwa miaka ya 1980 ulioanzia Ulaya Mashariki, ulileta uboreshaji mdogo wa mifumo ya tawala za nchi kadhaa barani Afrika. Mabadiliko hayo yalizikumba zile nchi zilizokuwa zimejikita katika utawala wa kidikteta hasa ukilenga chama au mtu mmoja. Hali hiyo ilifungua milango ya kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi katika nchi mbalimbali na  Tanzania ikiwemo. Hapo ndipo ilipoibuliwa hoja ya uwapo wa ukomo wa vipindi vya watawala katika nchi kadhaa hasa zile zilizokuwa na mfumo wa Rais mmoja kuongoza kwa...

read more...

Share |

Published By: Rai - Thursday, 8 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News