TUNDU LISU: BADO NINA RISASI MWILINI MWANGU

HALI ya Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu inaendelea kuimarika huku akiendelea na mazoezi ya viungo katika Hospitali ya Nairobi nchini Kenya ambako anapatiwa matibabu ya majeraha aliyoyapata baada ya kushambuliwa kwa risasi nyumbani kwake Area D, mjini Dodoma mnamo Septemba 7, 2017. Akizungumza katika mahojiano maalum na Kituo cha Runinga cha Azam TV, Lissu ameeleza namna alivyoshambuliwa huku akisema kuwa watu waliotekeleza tukio hilo la kinyama dhidi yake aliwaona japo hawajui. “Watu walionishambulia kwa risasi niliwaona lakini siwafahamu, nilikuwa ninajitambua mpaka muda nafikishwa Hospitali ya Dodoma, na mtu...

read more...

Share |

Published By: Jamhuri Media - Monday, 1 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News