TUNDU LISSU: NINAITWA MGONJWA WA MIUJIZA

Asha Bani na Nora Damian-DAR ES SALAAM KITENDO cha Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, kupigwa risasi 17 mwilini, lakini akaendelea kuwa hai hadi leo, kimetafsiriwa na madaktari wanaomtibu kuwa ni muujiza unaoishi. Hayo yalibainishwa na Lissu mwenyewe katika mahojiano maalumu na Kituo cha runinga cha Azam jana, kuhusu masuala mbalimbali tangu alipopigwa risasai nje ya nyumba yake mjini Dodoma, Septemba 7 mwaka jana na maendeleo ya matibabu yake kwa ujumla. Katika mahojiano hayo, Lissu ambaye pia ni Mnadhimu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni na Rais wa Chama...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Tuesday, 2 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News