Trump aikosoa Ujerumani kufanya biashara na Russia

Mkutano wa viongozi wa nchi wanachama NATO ulianza kwa hatua ya mvutano Jumatano wakati Rais wa Marekani Donald Trump akiikosoa Ujerumani, na kumshutumu mwanachama huyo muhimu na tajiri zaidi wa umoja wa kujihami kuwa ni “mateka” wa Russia....

read more...

Share |

Published By: VOA News Swahili - Wednesday, 11 July

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News