TRILIONI 1.2 HUTUMIKA KUDHIBITI UKIMWI KWA MWAKA

Na Hamisa Maganga, Bagamoyo Tanzania hutumia Sh trilioni 1.2 kwa ajili ya shughuli za kudhibiti Ukimwi kwa mwaka. Aidha, asilimia 93 ya fedha za kudhibiti Virusi vya Ukimwi (VVU) hutolewa na wahisani ambapo kati ya hizo asilimia 86 hutoka Marekani. Mkurugenzi wa Fedha na Utawala kutoka Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania Bara (TACAIDS), Yasin Abbas, amesema hayo leo Alhamisi Machi 8, wilayani Bagamoyo wakati akitoa mafunzo kwa waandishi wa habari kuhusu uandaaji wa programu bora za VVU na Ukimwi. Amesema asilimia kubwa ya fedha hizo hutumika katika kununua dawa za...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Thursday, 8 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News