Trilioni 108/= za Acacia kitendawili

JUHUDI za serikali kutaka kampuni ya Acacia kulipa mabilioni ya shilingi inayodai imepunjwa, ziko hatarini kukwama, MwanaHALISI limeelezwa. Taarifa kutoka serikalini na makao makuu ya kampuni ya Barrick Gold Mining yaliyoko Toronto nchini Canada zinasema, serikali ya Tanzania inakabiliwa na kibarua kigumu kuweza kulipwa fedha hizo. “Ni vigumu serikali kulipwa fedha inazosema zimeibiwa au zimepunjwa ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Monday, 19 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News