TRILIONI 10.4 KULIPIA DENI LA TAIFA

Na Joyce Kasiki, Dodoma Jumla ya Sh trilioni 10.004 zimetengwa katika mwaka ujao wa fedha 2018/19, kwa ajili ya kulipia deni hilo deni la taifa. Waziri wa Fedha na Mipango Dk. Philip Mpango amesema hadi kufikia Desemba mwaka jana deni la taifa lilifikia Dola za Marekani milioni 21,308.7 sawa na Sh bilioni 47,756.3 (trilioni 47.7) ikilinganishwa na Dola za Marekani milioni 20,766.3 sawa na Sh bilioni 46,081.42 (trilioni 46.081) Juni mwaka jana. Dk. Mpango amesema hay oleo Jumanne Machi 13, wakati akiwasilisha kwa wabunge mapendekezo ya Serikali ya Mpango wa Maendeleo...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Tuesday, 13 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News