TRA YAKAMATA BIDHAA ZILIZOINGIZWA KINYEMELA ARUSHA

Eliya Mbonea, Arusha Mamlaka ya Mapato nchini (TRA), imekamata mifuko ya sukari 362, galoni 100 za mafuta ya kula ya Nyota na maboksi 40 ya Karibu, yakidaiwa kuingizwa nchini bila kulipiwa ushuru katika maeneo ya Loliondo wilayani Ngorongoro mkoani Arusha. Akizungumza mjini hapa jana Kamishna Mkuu wa TRA, Charles Kichere amesema, bidhaa zote zilizokamatwa zina thamani ya zaidi ya Sh milioni 20 huku kodi ya bidhaa hizo ikiwa ni Sh milioni 28.5 huku adhabu kwa bidhaa zote ikiwa ni Sh milioni 10.7. Amesema usiku wa kuamkia Mei 11, mwaka...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Wednesday, 16 May

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News