TRA: Wafanyabiashara Msiwaogope Maafisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania.

Na: Veronica Kazimoto. Mbeya,8 Machi, 2018.Wafanyabiashara na wananchi wote kwa ujumla wametakiwa kutowaogopa watumishi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa kuwa watumishi hao wanafanya kazi kwa mujibu wa taratibu, kanuni na sheria za Utumishi wa Umma na badala yake wametakiwa kuwa karibu nao ili kupata ufafanuzi wa masuala mbalimbali yanayowakabili hususani yanayohusu kodi.Hayo yamesemwa leo na Msimamizi wa wiki ya elimu kwa mlipakodi katika Mikoa ya Kanda za Juu Kusini ambaye pia ni Mkurugenzi wa Ukaguzi wa Hesabu za Ndani kutoka TRA Makao Makuu Bi. Tubagile Namwenje alipokuwa akizungumza na...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Thursday, 8 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News