TRA kuwashukia waendesha Bahati Nasibu

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), imeanza kutekeleza jukumu la kukusanya kodi kwenye michezo ya kubahatisha jukumu ambalo ilikabidhiwa kuanzia mwezi Julai mwaka huu anaandika Irene Emmanuel. Akiongea na waandishi wa Habari leo jijini Dar es salaam, Richard Kayombo, Mkurugenzi Huduma na Elimu kwa Mlipakodi amesema kwamba kutokana na nmabadiliko hayo TRA itakusanya kodi katika michezo ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Wednesday, 13 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News