TPA yamwaga madawati Kibiti

Katika kuhakikisha inatekeleza mkakati wa Serikali wa wanafunzi kukaa katika madawati Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) imetoa msaada wa madawati 79 katika Shule ya Msingi Nyamisati iliyopo Wilaya ya Kibiti mkoani Pwani....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Sunday, 10 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News