Timu zilizoingia 16 bora ya UEFA Champions League na matokeo yake

Usiku wa December 6 2017 hatua ya makundi ya michuano ya UEFA Champions League msimu wa 2017/2018 ilimalizika rasmi kwa game nane kuchezwa barani Ulaya na sasa tumezifahamu jumla ya timu 16 zilizofanikiwa kuingia hatua ya 16 ya michuano ya UEFA Champions League. Michuano imemalizika na tumeshuhudia timu za Napoli na Borussia Dortmund ambazo tumezoea kuziona […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Wednesday, 6 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News