TETESI: Enrique akubali kumrithi Conte Chelsea

Nafasi ya Kocha wa Chelsea Antonio Conte ndani ya klabu hiyo imeonekana kuwa mashakani tangu wiki iliyopita baada ya kupata matokeo mabaya ya kufungwa 3-0 dhidi ya Bournemouth na yale ya 4-1 mbele ya Watford siku ya Jumatatu. Taarifa kutoka nchini Hispania zinasema kuwa Meneja wa zamani wa klabu ya FC Barcelona, Luis Enrique ameonekana […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Wednesday, 7 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News