Tegemea kumuona Rayvanny kwenye Kolabo moja na Card B na French Montana

Kupitia instagram account ya Rayvanny alishawahi kupost picha zikimuonyesha akiwa studio na msanii Jason Derulo kutokea Marekani vipi kuhusu collabo hiyo? Na tutegemee ndani ya collabo hiyo kuwemo Cardi B au French Montana? Bonyeza PLAY kumsikiliza Rayvanny akielezea yote hayo. Ulipitwa na Meneja wa Diamond kuuliza “Kumbe tatizo ni kumpoteza huyu kijana?...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Friday, 9 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News