TCRA YASHUSHA RUNGU VITUO VITANO VYA RUNINGA

Na MWANDISHI WETU-DAR ES SALAAM MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imevipiga faini ya mamilioni ya shilingi vituo vitano vya runinga kwa kurusha taarifa ambazo zinakinzana na kanuni za utangazaji kwa kurusha habari ambayo inasadikiwa kuwa na viashiria vya uchochezi. Vituo vilivyokumbwa na adhabu hiyo ni ITV, EATV, Channel Ten, Azam Two na Star tv. Akitangaza uamuzi huo Dar es Salaam jana, Mwenyekiti wa Kamati ya Maudhui ya TCRA, Joseph Mapunda, alisema hatua hiyo imefikiwa baada ya kuvihoji vituo hivyo na kukiri kuwa vimetenda makosa hayo. Akisoma uamuzi wa kamati hiyo,...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Wednesday, 3 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News