TCCIA KUWAKUTANISHA WAFANYABIASHARA KUJADILI FURSA ZA MAENDELEO.

Chemba ya biashara, viwanda na kilimo (TCCIA) mwezi huu imeandaa mkutano wa wanachama wake pamoja na wafanyabiashara kwa ujumla. Mkutano huu ambao umebatizwa jiina la TCCIA breakfast utajadili mambo kadhaa ikiwemo; Urahisishaji wa biashara za kimataifa kupitia Benki, Fursa zitokanazo na makubaliano kati ya TCCIA na Chemba ya China, Fursa katika biashara ya bomba la mafuta na pia uboreshaji wa mazingira ya biashara. Akizungumzia mkutano huo Afisa Mkuu wa TCCIA Gotfrid Muganda alisema " huu ni mwendelezo wa ujengaji uwezo na kuwapa fursa wanachama wake na wafanyabiashara wa Tanzania". Pia...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Wednesday, 7 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News