TBT Makala, Mwaka Moja Uliopita: Zidane Tizama Nyuma Ya Miwani Ya Perez

Muasisi wa Taifa hili, hayati Mwl. Julius Kambarage Nyerere alifariki dunia 1999 Oktoba 14. Huu ulikuwa takribani mwaka mmoja tangu Zinedine Zidane atwae taji la ubingwa wa dunia huku akifunga mara mbili katika fainali dhidi ya Brazil na ukiwa ni takribani mwaka mmoja pia kabla Zidane hajatwaa uchezaji bora wa mashindano ya mataifa ya Ulaya wakati Ufaransa ikitwaa ubingwa huo mwaka 2000 kwa kuichapa Italy. Mchezaji ambaye pamoja na ukimya wake ndani ya uwanja miguu yake ilikuwa na kelele za aina yake na uongozi kwa wenzake ulianzia katika nyayo...

read more...

Share |

Published By: Shaffih Dauda - Friday, 6 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News