Taxi yaua watu 14 ikikwepa ng’ombe huko Uganda

Kampala – Uganda Watu 14 wamekufa wakati taxi ilipokata kona ili kuwakwepa ng’ombe na kugonga magari mawili makubwa katika kile kinachojulikana nama ajali mbaya zaidi ya barabarani nchini Uganda, polisi walisema Jumatano. Watu 8 walifariki papo hapo akiwemo mwandishi wa habari, wakati wengine sita walifariki baadae hospitalini, Scovia Birungi, kamanda wa polisi wa eneo hilo aliliambia shirika la habari la AFP. Watu wengine tisa walikuwa na majeraha makubwa, wakati ng’ombe pia alikufa. Ajali hiyo ilitokea huko Lwengo katika barabara kuu ya Masaka – Kampala katika eneo ambalo linajulikana kama...

read more...

Share |

Published By: Raia Mwema - Friday, 6 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News