TASAF YAKUTANA NA WADAU WA MAENDELEO KUJADILI UTEKELEZAJI MPANGO KUNUSURU KAYA MASKINI-PSSN.

Mkurugenzi wa Miradi wa TASAF, Amadeus Kamagenge(aliyesisima) akizungumza katika ufunguzi wa Mkutano wa Wadau wa Maendeleo na Serikali ulioanza leo mjini Dar es salaam .  Kiongozi wa Shughuli za TASAF katika Benki ya Dunia Mohamed Muderis (aliyesimama) akitoa maelezo kwenye Mkutano wa Wadau wa Maendeleo,Serikali na TASAF unaojadili maendeleo ya Mpango wa Kunusuru  Kaya Maskini. Baadhi ya Wadau wa Maendeleo,Maafisa wa TASAFna Serikali wakiwa kwenye Mkutano wa kujadili Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini. Baadhi ya Wadau wa Maendeleo,Maafisa wa TASAFna Serikali wakiwa kwenye Mkutano wa kujadili Mpango wa Kunusuru...

read more...

Share |

Published By: Jamhuri Media - 3 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News