TASAF YABISHA HODI WILAYANI MASASI

NA MWANDISHI WETU JUMLA ya wajasiriamali 159 kutoka vikundi mbalimbali wilayani Masasi wanatarajiwa kufadika na miradi ya ufugaji wa samaki iliyofadhiliwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii Tanzania (TASAF). Hatua hiyo imekuja kupitia miradi saba ya ufugaji wa sato waliyoibua kupitia mpango wa kunusuru kaya masikini uliopo chini ya mfuko huo, ambapo itawasaidia kupata kitoweo na fursa ya kibiashara. Akizungumza na waandishi wa habari, waliotembelea miradi hiyo jana kiongozi wa kundi la walengwa hao wa Mtaa wa Madeko katika Halmashauri ya Mji wa Masasi, Hamidu Kindamba, alisema waliibua mradi...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Wednesday, 11 July

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News