TANZIA: MWANASIASA TAMBWE HIZZA AMEFARIKI DUNIA

  TANZIA Mwanasiasa Tambwe Hizza amefariki dunia leo alfajiri akiwa nyumbani kwake jijini Dar es salaam. Tambwe Hizza alikuwa katika timu ya waratibu wa kampeni za mgombea ubunge Jimbo la Kinondoni kupitia CHADEMA, Salum Mwalimu....

read more...

Share |

Published By: Jamhuri Media - Wednesday, 7 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News