Tamko la ACT Wazalendo kuhusu kupigwa risasi Meja Jen Mstaafu

Matukio ya kuvamiwa watu na kupigwa risasi yamekuwa yakiripotiwa siku za hivi karibuni ambapo September 7, 2017 liliripotiwa tukio la kupigwa risasi kwa Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu kabla ya September 11, 2017 kuripotiwa kushambuliwa Meja Jenerali Mstaafu Vicent Mritaba wakati anaingia getini nyumbani kwake. Matukio haya yamekuwa yakikemewa na watu mbalimbali na viongozi […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Tuesday, 12 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News