TAMBWE KUREJEA YANGA NA NDIKUMANA

NA ZAITUNI KIBWANA MABINGWA wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga, baada ya kuona ugumu wa kupata kiungo mkabaji wa Mbao FC, Yussouf Ndikumana, wameamua kutafuta njia nyingine ambayo ni kumtumia mshambuliaji wao, Amis Tambwe. Saini ya Ndikumana inasakwa na klabu mbalimbali ikiwamo Simba, Yanga na Kagera Sugar, baada ya kung’ara msimu uliopita na kuinusuru timu yake ya Mbao FC isishuke daraja na kucheza fainali ya Kombe la Shirikisho. Licha ya mazungumzo ya awali kuwapa moyo vigogo wa Yanga, lakini ugumu ulizuka baada ya meneja wa kiungo huyo kutokukubali mazungumzo na...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - Monday, 19 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News