Tambwe Hizza afariki dunia

UMOJA wa Katiba ya Wananchi (Ukuwa) umepata pigo kutokana na kifo cha mwanasiasa machachari, Richard Tambwe Hizza. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Ukawa ni muunganiko wa vyama vinne, Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Chama cha Wananchi (CUF), NCCR Mageuzi pamoja na NRD. Msemaji wa Chadema, Tumaini Makene amethibitisha kifo hicho akisema Hiza amefariki leo asubuhi ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Thursday, 8 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News