TAKWIMU: Croatia v England, huku Luca Modric, kule Harry Kane

Baada ya kupatikana kwa mbabe kati ya Ubelgiji na Ufaransa, uso wa dunia utageuka kutoka St. Petersburg, kuelekea mji mkuu wa Moscow. Safari ya masaa nane na dakika 48, takribani kilomita 714.1 itahusika kuwatoa mashabiki 81,000 kutoka St. Petersburg, kwenda kuujaza uwanja wa taifa....

read more...

Share |

Published By: Mwana Spoti - Tuesday, 10 July

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News