TAHADHARI UGOMVI WA LIVER NA EVERTON USIINGILIE

MERSEYSIDE, Liverpool WIKIENDI hii Ligi Kuu England itanogeshwa zaidi na mechi za wapinzani wa jadi, ambapo Liverpool inatarajiwa kuikaribisha Everton kwenye mtanange wa ‘Merseyside Derby’. Timu hizo zitakutana kwa mara ya kwanza msimu huu huku Liver ikiwa na kumbukumbu nzuri ya kushinda mabao 3-1 kwenye mchezo wa mwisho uliopigwa msimu uliopita. Historia inaonesha kuwa Liver na Everton zikikutana huwa ni patashika nguo kuchanika. Mshindi kupatikana katika dakika za lala salama ni kitu cha kawaida. Ukiona matokeo ya sare katika mechi hizo basi ujue ni lazima ‘damu imwagike’ kwanza. Aina za...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - Thursday, 7 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News