Taasisi ya Tembea Pamoja kutoka China yatoa msaada wa nguo kwa waathirika wa mvua na wazee wasiojiweza

 WANANCHI wa Wilaya ya Chake waliothirika na mvua na wazee wasiojiweza, wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba, Mhe:Mwanajuma Majid Abdalla, wakati alipokuwa akizungumza nao kabla ya kukabidhiwa kwa msaada wa Nguo, kutoka kwa Mwakilishi wa Jimbo hilo Suleiman Said Sarahani.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA) MKUU wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe:Mwanajuma Majid Abdalla, akibadilishana mawazo na Viongozi wa Taasisi ya Tembea Pamoja kutoka China, kabla ya kukabidhi Msaada wa nguo kwa wananchi wa Chake Chake kwa kushirikiana na mwakilishi wa jimbo hilo.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA) MWAKILISHI wa Jimbo la Chake...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Monday, 19 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News