SUMAYE, MBOWE WATINGA MAHAKAMANI

Na ASHURA KAZINJA – MOROGORO WAZIRI Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, jana walikuwa miongoni mwa wanachama wa chama hicho, waliofika katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Morogoro, kusikiliza kesi za wabunge wao wawili. Sambamba na wanasiasa hao, wengine waliokuwapo mahakamani hapo ni pamoja na wabunge wa chama hicho, John Heche wa Tarime Vijijini na Devotha Minja wa Viti Maalumu. Sumaye, Mbowe na wabunge hao, walifika mahakamani hapo jana asubuhi wakati wabunge wawili wa Chadema, Suzan Kiwanga wa Mlimba na Peter Lijualikali wa Kilombero, walipofikishwa mahakamani na...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Wednesday, 6 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News